1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kitisho cha maradhi kutokana na mbinu mpya za ufugaji

23 Septemba 2020

​​Je, unafahamu kuwa mbinu za kisasa za kilimo na ufugaji zina mchango mkubwa kwenye kusambaza magonjwa ya kuambukiza kati ya wanyama na binadamu? Tazama video hii ya Thelma Mwadzaya uelimike.

https://p.dw.com/p/3iu6O