Mshambuliaji wa Bayern Munich Harry Kane atasalia nje ya kikosi cha Bayern Munich kutokana na jeraha la msuli wa paja. Kocha Vincent Kompany amesema Bayern ina wachezaji wenye vipaji vya kutosha kuchukua nafasi ya Kane, kuanzia mechi ya kesho Jumanne ya raundi ya 16 bora ya Kombe la shirikisho la Ujerumani DFB Pokal dhidi ya mabingwa Bayer Leverkusen. Zaidi sikiliza makala ya Michezo.