1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo baada ya Uchaguzi: Wananchi wa Kinshasa wauhama mji kuhofia machafuko

5 Desemba 2011

Matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa rais yanaonyesha rais Joseph Kabila anaongoza na kufuatiwa na mpinzani wake mkongwe Etienne Tshisekedi.Matokeo kamili yatatolewa kesho,lakini tayari upinzani unayapinga matokeo hayo.

https://p.dw.com/p/13Msg
kabila.jpg **FILE** President Joseph Kabila smiles during a meeting with former heads of state in Kinshasa, Congo in this Saturday, Nov. 4, 2006 file photo. Kabila appeared to have an insurmountable lead Tuesday, Nov. 14, 2006, in Congo's runoff election with nearly all the votes counted. (AP Photo/Schalk van Zuydam, FILE)
Rais Joseph Kabila aongoza kwa kura katika uchaguzi.Picha: AP Photo

Wasiwasi wa machafuko mjini Kinshasa umesababisha moja wapo ya wakaazi kuanza kuuhama mji huo.Huku maaskofu wa Kongo wakitoa wito wa utulivu na kukubali matokeo ya uchaguzi.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Yusuf Saumu