1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiAsia

Korea Kusini yaomboleza vifo vya watu 179 vya ajali ya ndege

30 Desemba 2024

Korea Kusini inaomboleza vifo vya watu 179 baada ya ndege ya shirika la Jeju Air kutua kwa dharua na kulipuka moto. Timu ya wapelelezi wa Marekani imeungana na maafisa wa Korea Kusini kuchunguza kilichosababisha mkasa huo

https://p.dw.com/p/4ogv6