1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Krismasi chini ya kivuli cha janga la corona Ujerumani

Harrison Mwilima21 Desemba 2020

Maambukizi na vifo vinavyosababishwa na virusi vya Corona yaliendelea kupanda hususani katika majira ya sasa ya baridi kuelekea mwisho wa mwaka, hivyo kusababisha kuwekwa kwa vizingiti zaidi. Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inaangazia jinsi Krismasi ya 2020 nchini Ujerumani inavyosherehekewa chini ya kivuli cha janga la virusi vya Corona. Mwandaaji na msimulizi wako ni Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3n0m6