Kufungwa kwa makanisa na vilabu vya pombe mjini Kinshasa,DRC
19 Februari 2010Matangazo
Hatua hiyo iliyochukuliwa na serikali
imelalamikiwa na wafuasi wengi wa makanisa hayo ambao
wamehisi kwamba viongozi walitakiwa kupiga marufuku kelele na
sio kufunga makanisa. Kumejitokeza jijini Kinshasa miaka ya hivi
karibuni mfumuko wa makanisa ya kujitegemea ambayo yanajiita
makanisa ya muamko ama " wake up churches." Taarifa kamili na
mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.
Mtayarishi: Josephat Charo
Mhariri: Othman Miraji
INSERT