Tafiti za kisayansi zinaonesha tatizo la usugu wa dawa linazidi kuongezeka miongoni mwa watumiaji huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni matumizi holela ya dawa.Je namna gani unaweza kukabiliana na tatizo la usugu wa dawa.Sikiliza makala ya afya yako na Lilian Mtono