1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuna mbinu za kuzuia mazishi ya Tshisekedi?

9 Mei 2017

Milio ya risasi imesikika kwenye makao makuu ya chama cha upinzani UDPS. Watu wasiojulikana walishambulia vituo vya polisi wanaohusika na usalama wa eneo hilo ambako kunatarajiwa kujengwa kaburi la Etienne Tshisekedi.

https://p.dw.com/p/2ceoR
Kiongozi wa upinzani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi
Picha: Reuters/F. O'Reilly

J2 09.05.2017 UDPS na polisi - MP3-Stereo

Kiongozi huyo wa upinzani alifariki nchini Ubelgiji Februari mosi. Chama cha UDPS kimeilaumu serikali kwa kile kilichoeleza kuwa ni njama ya kuzuia mazishi ya Tshisekedi.