Azimio la Baraza Kuu la UM ina maana gani kwa mzozo wa Gaza?
MigogoroIsrael
Amina Mjahid13 Desemba 2023
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotaka usitishaji mapigano utakaoruhusu kufikishwa kwa misaada ya kiutu kwa watu wa Gaza. Nchi 153 zimeliunga mkono azimio hilo, huku 10 tu zikilipinga, na Ujerumani ni miongoni mwa nchi 23 ambazo zimejizuia kupiga kura. Amina Aboubakar amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kimataifa Ahmed Rajab kuhusu umuhimu wa kura hiyo.