SiasaKura zilizoharibika zaibua maswali Kenya11.08.201711 Agosti 2017Ujumbe wa Umoja wa Afrika unatiwa shaka na idadi kubwa ya kura ambazo ziliharibika. Kinacholaumiwa ni ukosefu wa elimu ya kutosha kwa wapigakura ambao hawakufahamu namna ya kutumia karatasi la kura.https://p.dw.com/p/2i44xPicha: DW/S. KhamisMatangazoJ2.11.08.2017 Spoilt ballots - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio