JamiiAfrikaKutana na wasanii wenye kipaji cha kipekeeTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika05.08.20215 Agosti 2021Ukuaji wa soko la michezo ya runinga na kwenye mitandao ya kijamii, umeibua fursa muhimu kwa washiriki wafupi nchini Tanzania. Licha ya juhudi zao, lakini waigizaji hao wanazo changamoto nyingi zisizo na majibu. https://p.dw.com/p/3ycA8Matangazo