1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini ushindi wa Tshisekedi unatiliwa shaka huko DRC?

Sylvia Mwehozi
16 Januari 2019

Kwenye Kinagaubaga, Rashid Chilumba anazungumza na Emery Damien Kalwira, rais wa muungano wa Wacongoman kwa ajili ya kipindi cha mpito bila ya Kabila madarakani, akimuuliza kwanini wanatilia shaka ushindi wa Felix Tshisekedi huko DRC?

https://p.dw.com/p/3BfOQ