Bila ya shaka unajua watoto wengi huwa na tabia ya kunyonya kidole au labda wewe mwenyewe unaye mtoto mwenye tabia hiyo. Umeshawahi kufikiria kwanini watoto hufanya hivyo na kama kuna athari au faida zozote zinazotokana na tabia hiyo? Basi kupata zaidi, jiunge na Najma Khamis katika kipindi cha Afya Yako.