LEARNING BY EAR - NOA BONGO JENGA MAISHA YAKO
5 Mei 2008Matangazo
Dhamira yake ni kuwahamasisha vijana kujiunga katika shughuli za uhifadhi wa mazingira,kujilinda dhidi ya kuambukizwa ugonjwa wa uhamiaji,kupata ufahamu na uelewa zaidi wa masuala ya uhamiaji vilevile urembo... na nafasi ya mtoto wa kike katika jamii.Makala hizo maalum maarufu Noa Bongo!Jenga maisha Yako zinaanza kurushwa mwishoni mwa wiki hii siku ya Jumamosi wakati wa mchana...
Josephat Charo alisimamia shughuli ya kurekodi makala hizo mjini Kigali nchini Rwanda na Thelma Mwadzaya alizungumza naye.