1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Lugha nyingi matatani kutoweka DRC

29 Mei 2017

Katika Utamaduni na Sanaa, Saumu Mwasimba anaziangalia lugha zilizo hatarini kutoweka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo kwasababu watu wanazipa kisogo. Kwa ujumla zipo lugha 450 nchini humo zinazozungumzwa na kama tunavyofahamu Lugha ni sehemu ya kitambulisho cha utamaduni. Je wewe unazungumza lugha yako ya asili?.

https://p.dw.com/p/2dlMh