1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

M23 "Hatuondoki Goma kwa Shinikizo"

Admin.WagnerD26 Novemba 2012

Waasi wa M23, katika Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wanasema hawawezi kuondoka katika mji wanaoudhibiti wa Goma kwa kushurutishwa, badala yake mazungumzo pekee ndiyo itakuwa suluhu

https://p.dw.com/p/16plI
epa03480854 M23 rebels stand guard outside the Goma football stadium as the M23 rebel spokes person, Lt Col Vianney Kazarama, gives a speech to a crowd of thousands in Goma, Congo DRC, 21 November 2012. Kazarama declared Goma to be under the control of M23, urging civil servants to return to work. EPA/TIM FRECCIA
Waasi wa M23 mjini GomaPicha: picture-alliance/dpa

Mwandishi wa DW, John Kanyunyu kutoka Goma alizungumza na Mwenyekiti wa kundi hilo la waasi, Askofu Jean-Marie Runiga, baada ya mkutano wake na Rais Yoweri Museveni na Rais Joseph Kabila uliofanyika Jumamosi iliyopita mjini Kampala.

Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohammed Khelef