Watu 47 wameuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia maandamano ambayo yamedumu kwa mwaka mmoja dhidi ya Rais Joseph Kabila. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa. Ripoti hiyo inawashutumu maafisa wa usalama wa Congo kwa kutumia nguvu zaidi dhidi ya waandamanaji