Maaskofu wa DRC wapinga Kabila kuongeza muda madarakani
27 Novemba 2015
Viongozi wa kanisa katoliki Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametupilia mbali wazo la mazungumzo ya kuahirisha uchaguzi wa rais na bunge unaopangwa kuitishwa Novemba mwakani na rais Joseph Kabila.