Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema ameshuhudia maendeleo katika juhudi za kutatua mzozo kati ya majirani wawili Rwanda na Jamhuri ya kidemocrasia ya Kongo ambao unafukuta katika eneo la mashariki. Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Ali Mali anaziangalia juhudi hizo