Madaktari Kenya wanusurika kutupwa jela
3 Februari 2017Matangazo
Viongozi wa chama cha madaktari wameepuka tena kifungo cha mwezi mmoja baada ya hukumu yao kuahirishwa mara ya tatu kwa muda wa siku saba kuruhusu mazungumzo kufanyika. Mgomo wa madaktari umeendelea kwa miezi miwili sasa.