Madaktari na Wauguzi wagoma nchini Burundi09.12.20089 Desemba 2008Madaktari na wauguzi nchini Burundi wamegoma kufanyakazi kwa muda wa wiki ya tatu sasa.https://p.dw.com/p/GCQKMatangazo Sekione Kitojo alizungumza na Dr. Kasai wa hospitali kuu mjini Bujumbura, ambaye alitaka kujua nini madai yao katika mgomo huo.