Makala ya Mbiu ya Mnyonge safari hii inazungumzia kile kinachoitwa Mkakati wa Khartoum, ambao unazikutanisha nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na mataifa kadhaa ya Pembe ya Afrika katika hatua za kukabiliana na uhamiaji haramu na athari zake kwa haki za binaadamu. Mtayarishaji na Msimulizi ni Mohammed Khelef.