Kuwa mkimbizi kunamaanisha sio tu kupoteza nchi yako na mali yako, bali pia heshima, familia na baadhi ya wakati hata moyo wa kusonga mbele kama jamii ya kibinaadamu. Sikiliza hadithi ya akinamama hawa wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania wakisimulia walivyopoteza waume na viongozi wa familia zao.