SiasaMaelfu wakimbia vita KongoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo16.02.201816 Februari 2018Maelfu ya wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamekimbilia Uganda, kutokana na ghasia zinaongezeka kaskazini mashariki mwa Kongo. Zaidi ya watu 34,000 wamevuka mpaka kwenda Uganda tangu mwanzoni mwa mwaka huu. https://p.dw.com/p/2sotEMatangazo