Maggid Mjengwa,Tanzania
23 Mei 2013Matangazo
"Sherehe za miaka 50 zina umuhimu mkubwa kwa bara la Afrika, mtu akizingatia jumuia hiyo imesimama katika majukwaa mengi ya kimataifa kuwakilisha sauti ya bara la Afrika. Changamoto kubwa inayoukabili Umoja wa Afrika hivi sasa ni kuhakikisha bara la Afrika linajiendeleza kiuchumi na kinadharia."