1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na Bibi Alice Nzomukunda wa chama cha upinzani Burundi

1 Machi 2010

Siasa nchini Burundi imepata msisimko mkubwa mnamo siku za hivi karibuni. Bi Alice Nzomukunda tayari amechaguliwa na chama chake cha Democratic Alliance for Renewal, ARD, kama kinara.

https://p.dw.com/p/MGP3
Wananchi wa Burundi wataingia katika uchaguzi mwezi Juni,2010Picha: DW

Peter Moss alizungumza na Bibi Nzomukunda na alianza kwa kumuuliza hisia zake na mazingira ya sasa nchini humo, ikizingatiwa kwamba ameamua kujitosa uwanjani kuwania urais katika uchaguzi wa mwezi Juni.

Mwandishi: Peter Moss

Mhariri: Othman Miraji