JamiiMaisha ya VijijiniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiVeronica Natalis25.05.202325 Mei 2023Katika video hii utaona ni jinsi gani maisha ya watu wa vijijini yanatofautiana na maisha ya watu wa mjini. Mwandishi wa DW Veronica Natalis amewatembelea wakazi wa kijiji cha Maswea wilaya ya Ikungi mkoani Singida nchini Tanzania.https://p.dw.com/p/4RnsyMatangazo