1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha ya wakaazi wa Johannesburg yanahatarishwa na uchafu wenye sumu

3 Januari 2018

Maisha ya maelfu ya wakaazi wa Soweto, Afrika Kusini yako hatarini kutokana na maji yenye sumu na vumbi. Watu hao wanaishi karibu na eneo lenye rundo la uchafu wenye sumu iliyokusanyika wakati ilipogundulika migodi ya dhahabu katika karne ya 19.

https://p.dw.com/p/2qInv