1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika wiki hii

SAUMU YUSUF10 Januari 2025

Vurugu zaibuka Msumbiji, baada ya Kiongozi wa upinzani nchini Venancio Mondlane kurejea kwa kishindo, maputo na kujiapisha mwenyewe kuwa rais mpya. John Dramani Mahama aapishwa rasmi kuwa rais mpya wa Ghana akimrithi Nana Akufo Ado.Jeshi DRC lakomboa maeneo yaliyokamatwa na M23. Na makaazi ya ofisi rais yavamiwa na washambuliaji N'Djamena.Jiunge na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/4p2JL