Sudi Mnette anazungumza na Muhindo Nzangi, mbunge wa Kivu Kaskazini huko DRC juu ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini humo iliyoonesha rais wa zamani Joseph Kabila alitumia mara sita ya kiwango cha fedha alichopangiwa na Bunge.