Kwa mara ya kwanza imeripotiwa waziwazi kwamba makamu wa kwanza wa rais wa visiwa Zanzibar Maalim Seif ameambukizwa virusi vya corona na amelazwa hospitalini. Tangazo hilo limetolewa na chama chake ACT Wazalendo. Sikiliza mahojiano ya John Juma na Addo Shaibu, katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo .Maalim anaendeleaje?