Ethiopia na Eritrea hazipo vitani tena, baada ya kufungua ukurasa mpya wa kimahusiano. Ni mengi yamekwishafanyika tangu kufikiwa kwa makubaliano ya Amani hivi karibuni. Je hatua hii ina maana gani kuelekea Amani ya kudumu kati ya mataifa hayo? Josephat Charo na wachambuzi wanazungumza katika “Maoni mbele ya meza ya Duara”.