Huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, makundi 32 ya wapiganaji Mai-Mai yanakusudia kusitisha mapigano kuanzia Disemba 23 katika mkoa wa Kivu Kusini ili kutoa fursa kwa juhudi za amani na usalama zinazofanywa na serikali. Mitima Delachance anaripoti kutoka Bukavu.