JamiiUgandaMalalamiko ya kipimo cha Vinasaba "DNA"To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiUgandaLubega Emmanuel11.07.202311 Julai 2023Jijini Kampala, gari ndogo za abiria zimepambwa na mabango yenye tangazo la kuwahimiza wazazi kupima vinasaba yaani DNA ili kubaini udugu wao na watoto wao. Tizama video hiyo kwa kina iliyoandaliwa na Lubega Emmanuel. #kurunzi https://p.dw.com/p/4TjMvMatangazo