1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malu Malu mpatanishi wa DRC afariki

1 Julai 2016

Padre Apollinaire Malu Malu aliyekuwa kiongozi wa tume huru ya uchaguzi Kongo na msimamizi wa mazungumzo baina ya serikali na makundi ya waasi amefariki huko Dallas, Marekani, baada ya kuugua saratani.

https://p.dw.com/p/1JHHW
Padre Apollinaire Malu Malu wa DRC
Picha: Getty Images/AFP/Y. Boucau

[No title]