Bassirou Diomaye Faye anatarajiwa kuapishwa rasmi kuwa rais wa tano wa Senegal. Faye mwenye umri wa miaka 44 kutoka kambi ya upinzani alishinda kwa kupata asilimia 54.28 ya kura kwenye uchaguzi wa tarehe 24.03.2024. Watalamu wetu wanatupa maoni yao, juu ya ushindi wa Bassirou Diomaye Faye. Je, mabadiliko hayo yatadumu ama ni ya kipindi cha mpito? Mtayarishaji ni Zainab Aziz.