1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni mbele ya meza ya duara : Nini hasa sababu za vita vya mashiriki mwa Kongo ?

Khelef Mohammed27 Januari 2023

Maoni wiki hii ni kuhusu vita vya mashariki mwa Kongo. Mohammed Khelef na wageni wake wamejikita zaidi juu ya jinsi mzozo huo unaathiri sio tu raia wa majimbo ya Kivu bali pia uhusiano baina ya nchi jirani.

https://p.dw.com/p/4MnpF