Mapambano makali yamezuka alfajiri ya leo kati ya waasi wa M23 na jeshi la serikali ya Kongo katika wilaya za Rutshuru na Nyiragongo. Barabara inayotoka Goma kwenda Rutshuru yaani eneo la kaskazini ya mji huo huenda imefungwa na waasi. Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu kutoka Beni John Kanyunyu.