1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambo yanayotengenezwa kwa kutumia shanga

6 Juni 2024

Msanii Mbali Mthethwa amefufua Sanaa ya utengenezaji mapambo kwa kutumia shanga. Anatumia ujuzi wa kitamaduni lakini unaofifia wa kutunga shanga kama msingi wa kutengeneza mapambo makubwa ya ukutani huko Soweto, Afrika Kusini. #77asilimia.

https://p.dw.com/p/4gkXY