Je mahusiano ya kimapenzi yamekuwa magumu zaidi kufuatia janga la virusi vya corona ulimwenguni? Ni vipi vijana wanashughulikia mahusiano yao ya kimapenzi wakati huu wa vizuizi vya corona na watu kufungiwa majumbani? Hayo na mengine mengi ni baadhi ya maswali ambayo yameangaziwa kwenye makala ya Vijana Mchakamchaka. Nahodha ni Bruce Amani