Mapigano yaendelea Mashariki mwa Congo
18 Mei 2012Matangazo
Vita vilivyozuka baina ya jeshi la Kongo na waasi yapita wiki tatu sasa, vimesababisha raia zaidi ya 30,000 kukimbilia usalama katika nchi jirani za Rwanda na Uganda.
Kusikiliza ripoti ya John Kanyunyu, mwandishi wetu wa mashariki mwa Congo, bonyeza alama ya spika za masikioni
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Josephat Charo