Mapigano yaendelea Mashariki mwa Kongo
1 Mei 2012Matangazo
Mapigano yakiwa yanaendelea katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Masisi mkoani Kivu ya kaskazini mashariki mwa DRC, waasi wa zamani wa CNDP wakiwa ndio wanaipigana na serikali ya DRC, generali Bosco Taganda anayesakwa na mahakama ya ICC na anayetajwa kuwa ndiye anaongoza vita hivyo, amekanusha kuhusika katika vita.
John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Goma
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwanidishi: John Kanyunyu
Mhariri: Othman Miraji