TikTok ambao ni mtandao wa unaoendeklea kuwa maarufu umejikuta kuwa kitovu cha malumbano kati ya Marekani na China, huku rais wa Marekani Donald Trump akitishia kuupiga marufuku mtandao huo. Lakini si Marekani pekee, nchini India, mtandao huo tayari umeshapigwa marufuku. Tuhuma dhidi ya TikTok ni kwamba unahatarisha usalama. Sylvia Mwehozi anakujuza mengi kwenye makala ya Sema Uvume.