Margarida Moreira,Cape Verde
23 Mei 2013Matangazo
"Ninahisi Umoja wa Afrika ni mfumo mzuri wa kuyaleta pamoja mataifa ya Afrika na kusimamia masuala ya kiuchumi. Kwa sababu ushirikiano wa kiuchumi na ushirikiano kati ya mataifa ya kusini - kwa mfano katika sekta ya elimu - yatalifanya bara la Afrika lipate nguvu ulimwenguni. Bila ya Umoja huo Afrika isingeweza kushikilia nafasi hii iliyonayo kiuchumi hivi sasa ulimwenguni."