You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Joe akubali kung'atuka
Baada ya uvumi wa wiki kadhaa, Rais wa Marekani Joe Biden amethibitisha kuwa hatowania tena uchaguzi mkuu wa Novemba.
Baerbock anaonya kutanuka kwa mashambulizi ya Urusi Ulaya
Baerbock ameunga mkono hatua ya kuweka makombora ya masafa marefu nchini Ujerumani ili kuzuia uchokozi wa Urusi.
Scholz ashiriki maadhimisho ya miaka 80 ya kumpinga Hitler
Kansela Olaf Scholz amesema demokrasia ya Ujerumani inategemea juhudi za kila mmoja bila kuchoka.
Afrika katika Magazeti ya Ujerumani
Ushindi wa Rais Paul Kagame katika uchaguzi wa Rwanda, nao uliangaziwa
Trump ajitokeza mkutano wa RNC baada ya shambulio
Siku ya kwanza ya mkutano wa Republican ilikamilika baada ya kumuidhinisha rasmi Trump kuwa mgombea wake.
Ujerumani yalia na njama ya kumuua mkuu wa kampuni ya silaha
Ikulu ya Kremlin imepuuza taarifa hizo na kuziita habari za upotoshaji zisizopaswa kuchukuliwa kwa uzito wowote.
Biden asema hang'oki licha ya makosa ya aibu
Rais Joe Biden amesema ataendela na kampeni yake licha ya wasiwasi kuhusu utimamu wake wa kuongoza na makosa kadhaa.
Magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika
Serikali mpya ya Afrika ya Kusini imeangaziwa
Serikali ya mseto ya Ujerumani yaafikiana kuhusu bajeti
Vyanzo vimesema,serikali mjini Berlin inapanga kuendelea na mpango wa sheria kali za kudhibiti nakisi ya bajeti.
Wachama wa AfD wachagua viongozi wao leo
Essen, Wanachama cha mrengo wa kulia Alternative for Germany AfD wamekusa
Polisi yakabiliana na waandamanaji mjini Essen Ujerumani
Polisi yakabiliana na waandamaanaji mjini Essen Ujerumani
Germany yaanza kutekeleza mageuzi ya sheria ya uraia
Sheria ya uraia iliyozua mjadala mrefu imeanza kutekelezwa Alhamisi nchini Ujerumani.
Mwanajeshi mmoja wa Israel auawa Ukingo wa Magharibi
Mwanajeshi mmoja wa Israel ameuawa na mwingine amejeruhiwa vibaya wakati wa operesheni ya kijeshi Ukingo wa Magharibi.
Germany kuwafukuza wanaotoa machapisho ya chuki
Mageuzi hayo ya serikali kuu ya Ujerumani yanalenga kukabiliana na kuenea kwa chuki ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii.
Kansela Olaf Scholz leo atampokea Rais wa Argentina
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz leo atampokea Rais wa Argentina Javier Milei mjini Berlin.
Mkwamo wa bajeti watishia kuivunja serikali ya Ujerumani
Vyama vya SPD, Kijani na FDP vimo katika mkwamo wa bajeti, hali inayotishia uhai wa serikali hiyo.
Maelfu ya wanajeshi wajiunga kwenye luteka za NATO
Maelfu ya wanajeshi wa NATO wajiunga kwenye luteka za kimkakati za kijeshi kwenye Bahari ya Baltiki
Hali ya usalama nchini Ujerumani bado ni tete, majasusi
Shirika la ujasusi wa ndani la Ujerumani limewasilisha ripoti yake ya kila mwaka ya 2023
Maandamano ya Gaza: Afisa mkuu elimu afutwa kazi Ujerumani
Wizara ya Elimu ilisema Stark-Watzinger alituma maombo kwa kansela wa Ujerumani Olaf Scholz kumfuta kazi Sabine Döring.
ANC, DA wakubaliana kuunda serikali Afrika Kusini
Serikali itajumuisha chama cha ANC, DA, Inkatha Freedom na kile cha siasa kali cha Patriotic Alliance.
Viongozi wa nchi za G7 wakubaliana kuipa msaada Ukraine
Wakuu wa nchi saba tajiri duniani pia wamekubaliana jinsi ya kukabiliana na malengo ya kibiashara na kisiasa ya China.
Ujerumani kupendekeza hatua ya kuwasajili vijana jeshini
Hatua hii ya Pistorius inakuja miaka 13 baada ya Ujerumani kufutilia mbali sharti la vijana kusajiliwa jeshini.
Zelensky na Pistorius watembelea wanajeshi wa Ukraine
Zelensky na Pistorius watembelea wanajeshi wa Ukraine
Muungano wa Scholz umepata pigo uchaguzi wa bunge la Ulaya
Matokeo ya awali ya bunge la Ulaya yanaonesha muungano wa Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz umeshindwa vibaya.
Wapiga kura wahitimisha uchaguzi wa bunge la Ulaya
Wapiga kura katika nchi 21 za EU zikiwemo Ujerumani na Ufaransa, wanahitimisha uchaguzi wa siku nne wa Bunge la Ulaya.
Scholz aunga mkono mpango wa kuwarudisha makwao wahalifu
Scholz amechukizwa na tabia ya watu waliopewa hifadhi nchini Ujerumani kujihusisha na uhalifu.
Scholz: Hakuna hatari Ukraine kushambulia ndani ya Urusi
Kansela wa Ujerumani Olaf scholz amesema haoni hatari yoyote katika kubadilika kwa msimamo wake hivi karibuni kuhusiana
Maelfu wahamishwa kufuatia mafuriko Ujerumani
Maelfu ya watu wamehamishwa kutoka makaazi yao kusini mwa Ujerumani kufuatia mafuriko yaliyosababisha kifo cha afisa mmo
Chama cha AfD kupata mafanikio katika uchaguzi wa Ulaya
Wiki moja kabla ya uchaguzi huo kufanyika AfD yaonekana kupata asilimia 16 ya kura mbele ya SPD na washirika wake.
Pistorius asifu mafunzo ya vikosi vya Ukraine, Ujerumani
Kufikia sasa, Ujerumani imeipa Ukraine mifumo miwili ya ulinzi wa anga ya Patriot na makombora husika.
Macron awakumbuka Wayahudi waliouawa na Manazi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia.
Macron aupongeza ushirikiano wa Ufaransa na Ujerumani
Rais Macron anafanya ziara ya kiserikali nchini Ujerumani, ya kwanza kufanywa na rais wa Ufaransa katika miaka 24
Kampeni za mwisho mwisho Afrika Kusini kabla ya uchaguzi
Vyama vya kisiasa nchini Afrika Kusini vimefanya kampeni katika wiki ya mwisho kabla ya uchaguzi mkuu.
Magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika
Jaribio la mapinduzi lillotibuliwa na jeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwanzoni mwa wiki, nalo liliangaziwa
Ujerumani, Ufaransa na Poland kujadili masuala ya usalama
Ujerumani, Ufaransa na Poland kujadili masuala ya usalama
Scholz atuma risala za rambirambi kwa Iran
Kansela wa Ujerumani Olaf Slcholz leo ametuma risala za rambirambi kwa Iran kufuatia kifo cha rais Ebrahim Raisi katika
Waziri wa Ujerumani Baerbock ziarani Ukraine
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani Annalena Baerbock leo amekitembelea moja ya kituo kikubwa cha kufua umeme nchi
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Harakati za kisiasa za Jacob Zuma kuelekea uchaguzi mkuu wa Afrika ya Kusini pia zimeangaziwa.
Scholz: Muda wa Ujerumani kuwa na rais mwanamke umefika
Scholz: Muda wa Ujerumani kuwa na rais mwanamke umefika
Viongozi wa Nordic wataka kuisadia zaidi Ukraine kivita
Viongozi wa mataifa ya Ukanda wa Nordic waunga mkono hatua ya kuisadia zaidi Ukraine kupambana dhidi ya Urusi
Scholz: Tutaendelea kuiunga mkono Ukraine kwa muda wote
Ujerumani inajiandaa kuipa Ukraine mfumo mwengine wa ulinzi wa anga aina ya Patriot.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Mashambulizi yaliyowauwa watu 35 katika kambi ya wakimbizi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yaliangaziwa.
Ujerumani yasema mazungumzo ya Gaza hayapaswi 'kuhatarishwa'
Ujerumani yazihimiza pande zote kuendeleza mazungumzo ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza
New Zealand na Ujerumani zasaini mkataba mpya wa ushirikiano
Hatua hiyo imefikiwa Jumamosi wakati wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock mjini Auckland.
Ujerumani na New Zealand zasaini mkataba wa ushirikiano
Serikali za Ujerumani na New Zealand zimetia saini mkataba wa maelewano ya kukuza ushirikiano baina yao.
Baerbock: Ujerumani kushirikiana na Australia kiusalama
Baerbock: Ujerumani kushirikiana na Australia kiusalama
Yulia Navalnaya kupokea Tuzo ya DW ya Uhuru wa Kujieleza
Mjane wa hayati kiongozi wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny na Wakfu wake wa Kupambana na Ufisadi, ndio washindi wa
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Maafa yaliyotokana na mvua kubwa Afrika ya Mashariki ni moja ya yaliyoangaziwa na magazeti ya Ujerumani wiki hii.
NATO inalaani "shughuli mbaya" za Urusi kwenye eneo lake
NATO inalaani "shughuli mbaya" za Urusi kwenye eneo lake
Baerbock aanza ziara ya wiki nzima eneo la Indo-Pasifiki
Annalena Baerbock afanya ziara eneo la Indo-Pasifiki ambako atajadili kwa kina sera ya usalama na ulinzi wa mazingira.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 47
Ukurasa unaofuatia