You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mkutano wa Usalama wa Munich unamalizika kwa mjadala wa Gaza
Mkutano wa Usalama wa Munich unamalizika kwa mjadala wa Gaza
Mkuu wa shirika UNHCR ataka ufadhili wa UNRWA urejeshwe tena
Mkuu wa shirika UNHCR ataka ufadhili wa UNRWA urejeshwe tena
Zelensky asaini mkataba wa 'kihistoria' na Ujerumani
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametia saini mkataba wa usalama na Ujerumani.
Zelensky asaini mkataba wa usalama na Ujerumani
Zelensky amesaini mkataba wa usalama na Ujerumani ambao Kansela Olaf Scholz ameuita "hatua ya kihistoria".
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Magazeti ya Ujerumani wiki hii
Baerbock ahofia mpango wa Israel kuushambulia mji wa Rafah
Waziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani Annalena Baerbock amesema leo kuwa ni jukumu la Israel kuhakikisha kunakuwa na ma
UN, Saudia zaonya kuhusu operesheni ya Israel huko Rafah
Baerbock: Operesheni hiyo ya Israel huko Rafah itasababisha "janga la kibinadamu."
Biden, Scholz kujadiliana msaada kwa Ukraine
Scholz atajadiliana na Biden juu ya kuendeleza msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Waziri wa Ujerumani kukutana na viongozi wa ECOWAS
Ziara ya Schulze imekuja kiasi wiki moja, baada ya kujiondowa kwa Burkina Faso, Mali na Niger katika jumuiya ya ECOWAS.
EU yahimiza misaada zaidi ya kijeshi kwa Ukraine
Scholz ametoa wito kwa nchi za Ulaya kuharakisha usafirishaji wa silaha zaidi kupelekwa nchini Ukraine.
Je, Germany inapaswa kupanua ushirikiano kanda ya Sahel?
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock aliashiria mwaka jana umuhimu wa ukanda wa Sahel kwa nchi yake.
Baerbock ataka msaada zaidi kwa wakimbizi wa Sudan Kusini
Baerbock asema mgogoro haufai kufumbiwa macho
Maandamano dhidi ya mrengo mkali wa kulia yaenea vijijini
Kumekuwa na maandamano ya nchi nzima dhidi ya chama cha siasa kali za mrengo wa kulia, AFD. DW ilitembelea kijiji kujua.
Uingereza yataka kubadilishana makombora na Ujerumani
Haya yameripotiwa jana na gazeti la Ujerumani la Handelsblatt
Ujerumani kuendelea na UNMISS na Sea Guardian Sudan Kusini
Bunge la Ujerumani Bundestag bado linapaswa kuamua kuhusu muda wa kuongezwa kwa operesheni hizo.
Umaarufu wa AfD wapungua kufuatia maandamano Ujerumani
Uungwaji mkono wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia nchini Ujerumani Alternative für Deutschland, AfD, umeshuka ki
Ujerumani yatoa heshima za mwisho kwa Wolfgang Schäuble
Schäuble alihudumu kama mbunge kwa miaka 51
Ujerumani yaifanyia mageuzi sheria ya uraia
Bunge la Ujerumani limeidhinisha sheria inayorahisisha kanuni za kupata uraia.
Hofu ya "fashisti" kuongoza serikali ya jimbo Ujerumani
Björn Höcke, kiongozi wa chama cha AfD jimboni Thuringia, anakusudia kuchukuwa madaraka jimboni humo mwaka huu wa 2024.
Ujerumani yawaambia wakulima wanaoandamana 'hakuna fedha'
Waziri wa Fedha wa Ujerumani Christian Lindner amesema serikali haina fedha za kuongeza ruzuku kwenye sekta ya kilimo.
Maelfu ya wakulima wakutana Berlin kwa kilele cha maandamano
Msafara mkubwa wa matrekta umemiminika mjini Berlin Jumatatu, wakulima wakikusanyika kwa kilele cha wiki ya maandamano.
Ujerumani yasema itaimarisha uhusiano wake na Taiwan
Ujerumani imekuwa na uhusiano mzuri na wa karibu na Taiwan kwa miaka mingi.
Mabadiliko ya msimamo: Ujerumani kuiuzia silaha Saudi Arabia
Serikali ya Ujerumani imebadili msimamo kuhusu uuzaji wa silaha nje na imeruhusu kuuza ndege za Eurofighter kwa Saudia.
Wagenknecht atangaza rasmi chama chake kipya Ujerumani
Mwanasiasa wa Ujerumani Sahra Wagenknecht aliwahi kuwa kiongozi wa chama cha siasa za mrengo wa shoto, Die Linke.
Serikali ya Ujerumani yakabiliwa na mwaka mgumu mbele yake
SPD, Kijani na FDP vimegawika zaidi kuliko kuwa wamoja, na hakutakuwa na fedha kutatua tofauti zao. 2024 ni mgumu kwao.
Ujerumani bado yakabiliana na mafuriko
Wataalamu wa Ujerumani wanasema maafa ya mafuriko yanatokea kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.
AfD yaongoza dhidi ya CDU katika jimbo la Saxony
Chama cha Social Democratic SPD cha Kansela Olaf Scholz wa Ujerumani sasa kiko katika asilimia 3.
Ujerumani haitingishwi na machafuko ya dunia - Scholz
Kwa kuzingatia mizozo na migogoro mingi, Kansela Olaf Scholz anahimiza nia ya kubadilika na kuafikiana.
Miito ya kusitisha mapigano Gaza yazidi kuongezeka
Waziri wa Ulinzi wa Marekani anatarajiwa kuishinikiza Israel isitishe mapigano katika mkutano na waziri mkuu wa Israel
Marekani na Israel kujadili operesheni ya kijeshi Gaza
Shirika la Afya Duniani, WHO limelaani juu ya uharibifu wa hospitali ya Kamal Adwan iliyopo kaskazini mwa Gaza.
Bunge la Ujerumani laidhinisha bajeti ya ziada ya mwaka 2023
Bunge la Ujerumani, Bundestag limeidhinisha bajeti ya nyongeza ya serikali kwa mwaka 2023.
Chama cha CDU chataka hatua kali dhidi ya uhamiaji Ujerumani
Rasimu ya mpango wa CDU inaitaka pia Ujerumani kukumbatia nishati ya nyuklia ya mgeuzi ya pensheni na soko la ajira.
Ujerumani yasema amani haiwezekani Mashariki ya Kati
Ujerumani imesema amani ya kudumu Mashariki ya Kati haiwezekani, iwapo Hamas litaendeleza mashambulizi kutokea Gaza.
Ujerumani bado yashinikiza kuachana na nishati visukuku
Ujerumani bado yashinikiza kuachana na nishati visukuku
Ujerumani yafanya juhudi kuondoa ukomo wa kukopa
Bunge la Ujerumani leo linawahoji wataalamu kuhusu mipango ya serikali ya kutaka kuondoa ukomo wa kukopa.
Waziri wa nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock, yupo Slovenia
Waziri wa nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock, yupo Slovenia
Rais wa Ujerumani alivyosubirishwa uwanja wa ndege Qatar
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier aliachwa kwa dakika 30 akisubiri uwanjan wa ndege Doha.
Je, ukomo wa deni la Ujerumani ni nini hasa?
Ujerumani imajikuta njia panda baada ya mahakama ya katiba kubatilisha sehemu ya bajeti yake na haiwezi kukopa tena.
Berlin kusaka mwarobaini utekelezaji ukomo wa deni
Mahakama ilisema kuwa serikali ya Olaf Scholz imevunja masharti ya katiba kwa kukiuka ibara inayoweka ukomo wa deni.
Putin:Mataifa ya Magharibi yanawajibika kwa mfumuko wa bei
Putin:Mataifa ya Magharibi yanawajibika kwa mfumuko wa bei
Ujerumani yaahidi uungaji mkono zaidi kwa Ukraine
Kyiv yaripoti kuhusu uharibifu uliofanywa na vikosi vya Urusi
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius yupo Ukraine
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius yupo Ukraine
Rais wa Uturuki erdogan awasili Ujerumani
Ikumbukwe Hamas ilifanya shambulizi kubwa la oktoba 7 lililosababisha vifo vya karibu Waisrael 1,200 na hasa raia.
Magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika
Mahakama ya juu ya Uingereza yabatilisha mpango wa Uingereza kuwapeleka Rwanda wahamiaji wanaoingia nchini humo
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ziarani Ujerumani
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuwasili mjini Berlin leo Ijumaa
Berlin na Ankara: Mahasimu kisiasa, marafiki kiuchumi
Ujerumani ndiyo mshirika muhimu zaidi wa kibiashara wa Uturuki. Wawekezaji wakubwa wa kigeni Uturuki ni Wajerumani pia.
Mkutano wa Biden na Xi, Je! Ujerumani iko mahala gani?
Mwanazuoni Hanns Maull amesema hakuna uhakika iwapo mazungumzo hayo yataleta ufumbuzi.
Scholz: Ujerumani itawekeza zaidi katika sekta ya ulinzi
Scholz amethibitisha kuwa Ujerumani itatumia 2% ya pato ghafi la taifa katika sekta ya ulinzi kama inavyotakiwa na NATO.
Ujerumani kuweka masharti magumu ili kuzuia uhamiaji
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameafikiana leo na viongozi wa majimbo yote 16 kuwepo kwa masharti magumu zaidi ya kuzu
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 47
Ukurasa unaofuatia