1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashini za kupigia kura zateketezwa kwa moto Kinshasa

13 Desemba 2018

Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo inasema maelfu ya mashine za kupigia kura zimeteketezwa kwa moto jana usiku, siku kumi tu kabla ya uchaguzi wa rais. Hata hivyo maafisa wa serikali wanahoji tukio hilo halitoathiri uchaguzi wa Desemba 23

https://p.dw.com/p/3A1gE