Je wadau mbalimbali wanazungumziaje uwezekano wa uchaguzi kuahirishwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo? Bruce Amani amezungumza na mkuu wa mashirika ya kiraia mashariki mwa nchi hiyo Bwana Mustafa Muita na kwanza alimuuliza kama hatua hiyo ya kusogezwa mbele uchaguzi inafaa au la. Sikiliza zaidi hapa.