Viongozi katika sekta ya uchumi na biashara kutoka Jumuiya ya Madola wamezitaka serikali za mataifa ya jumuiya hiyo kushirikiana kiuchumi kwa kuondoa vizingiti vyote vya kiuchumi miongoni mwao. Kauli hiyo imetolewa mjini Kigali Rwanda ambako kunaendelea mikutano mbalimbali siku moja kabla ya mkutano wa kilele wa viongozi wakuu wa Jumuiya ya Madola. Sikiliza ripoti ya Slyvanius Karemera.