Mataifa matatu yenye vivutio vya mapumziko ya majira ya joto -Uhispania, Italia na Ufaransa yalikuwa yameelemewa na wagonjwa wenye hali mbaya, na shughuli zote za kiuchumi zilikuwa zimefungwa. Hivi sasa lakini, mataifa yameaanza kufungua mipaka na kukaribisha mamiloni ya watalii. Iddi Ssessanga na mengi zaidi kwenye makala ya Mwangaza wa Ulaya.